1 Corinthians 1:29-31

29 aili mtu yeyote asijisifu mbele zake. 30 bBali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanyika kwetu hekima itokayo kwa Mungu, yaani haki, na utakatifu na ukombozi. 31 cHivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana.”

Copyright information for SwhNEN